Chanzo Cha Masifuri form four ni lugha ya Kingereza

Chanzo Cha Masifuri form four ni lugha ya Kingereza

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Mwanafunzi mwenye uelewa mzuri wa lugha ya kingereza hata asipoingia darasani mwaka mzima hawezi pata sifuri katika mtihani wa kidato cha nne.

Wewe mzazi ebu hakikisha Mwanao unamjenga katika msingi Bora wa kufahamu kughq ya malkia .

watu .wengi wamenifata pm ili niwape ushauri bada ya watoto wao Kupata zero.
 
Mbona hadi kiswahili chenyewe wamefeli?Au waliletewa mtihani wa kiswahili kwa lugha ya kiingereza?
 
Lugha ni sababu mojawapo kati sababu milioni moja zinachangia wanafunzi kufeli mitihani.

Sababu zingine ni pamoja na:
1. Maslahi duni kwa wawezeshaji.
2. Uongozi dhaifu katika idara ya elimu, kuanzia juu kabisa kushuka chini hadi kwa mkuu wa shule.
3. Kushuka kwa maadili kwa wazazi, walezi, walimu na wanafunzi wenyewe.
4. Uzembe wa wazazi/walezi kufuatilia matokeo ya watoto tangu awali.
5. Mazingira magumu ya kujifunzia na kufundishia
6. ...
 
Mwanafunzi mwenye uelewa mzuri wa lugha ya kingereza hata asipoingia darasani mwaka mzima hawezi pata sifuri katika mtihani wa kidato cha nne.

Wewe mzazi ebu hakikisha Mwanao unamjenga katika msingi Bora wa kufahamu kughq ya malkia .

watu .wengi wamenifata pm ili niwape ushauri bada ya watoto wao Kupata zero.
Nimesoma na mtu kuanzia primary mpaka secondary alikua na uwezo mzuri wakuongeq kiingereza lakin form four alipata zero
 
Hata mimi nakosa hela nyingi sana kwasababu ya lugha
 
Kiingereza Wala hakihusiani na mtu kufaulu ama kupata zero.

La msingi Ni mwanafunzi kuelewa masomo yote yanayofundishwa shuleni.

Unaweza ukamudu kuongea kiingereza ipasavyo ila ukakosa majibu Kwenye mitihani maana hukujiandaa Vizuri kwa ajili ya mitihani.
 
Fanya utafiti wako vizuri
Sababu wanafunzi ni wengi zaidi kuliko raslimali zilizopo.
Walimu, majengo, vitabu, n.k
 
Hapana

Tatizo ni Wazazi kuacha lea watoto na kuiachia serikali
 
Back
Top Bottom