sasa ilikuwaje allah anamuamuru jinni amsujudie kiumbe adam........???au wa kusujudiwa ni nani na nan kwa mujibubwa quruan tukufu wewe unachanganya kati ya kuabudu na kusujudu
kwaiyo kumsujudia mtu au kiumbe kingne tofauti na allah inaruhusiwa??Wewe unachanganya kati ya kuabudu na kusujudu.
Ndio,,,lakini isiwe unafanya hivyo kwa maana ya kumuabudu,ni heshima na utii.kwaiyo kumsujudia mtu au kiumbe kingne tofauti na allah inaruhusiwa??
sawa mm nikajua wakusujudiwa ni allah tu.Ndio,,,lakini isiwe unafanya hivyo kwa maana ya kumuabudu,ni heshima na utii.
Ibada ni mchakato au mtindo wa maisha wa kumtukuza Mungu kwa unyenyekevu na utiifu, na kusujudia ni njia mojawapo ya kuonyesha heshima ndani ya ibada au heshima kwa mtu au kitu kingine.