Chanzo cha udhalilishaji katika jamii

Chanzo cha udhalilishaji katika jamii

Shengesha

Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
5
Reaction score
0
Utafiti binafsi nilioufanya umegundua kuwa chanzo cha ongezeko la kasi ya matendo ya udhalilishaji katika jamii ni jamii yenyewe inajidhalilisha. Hii nikwasababu wanajamii wenyewe katika zama hizi wamekua wakijidhalilisha katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo mavazi.

Jamii ya sasa imekua ikivaaa nakuvalishwa mavazi ambayo kwa taswira tu ni mavazi yakujidhalilisha. Mfano, wanawake kuvaa pensi na nguo za makwapa nnje, kupiga picha ambazo zinaonyesha sehemu nyeti nk. Haya
yote yanapelekea kwa kiwango kikubwa kuongezeka kwa matendo ya kiudhalilishaji katika jamii.

Leo hiii imekuwa kawaida kwa wanawake kuvaa nguo zinazopelekea mihemko yamatamanio kwa wanaume hasa vijana rika. Watoto wanavishwa mavazi yanayopelekea kwa haraka kueza kutamaniwa na wanaume jambo ambalo linapelekea wakati mwengine mwanaume anashindwa kuzuia hisia zake kwa kumtamani mtoto au mwanamke kutokana na mavazi yake aliovaa.

Pia jamiii inajidhalilisha kwasababu uwepo wa wasanii ovyo wa miziki na filamu ambao wao walitakiwa kuwa sehemu muhimu yakuifundisha jamiii namna yakuvaa na kujistiri.

Kwa makusudi leo hiii wasaniii ndo wanawafundisha watoto au vizazi vyetu namna ya kuvaa nguo na kukaa uchi. Mfano mzuri angalia nyimbo za wasaniii wa bongo fleva, asilimia tisini ya wasani wanavaa mavazi ya uchi ambapo watoto wetu leo hii kila mmoja anavaa kwa kumuiga msanii flani. Msanii anaeigwa ni yule aliyevaa nguo za uchi na ambazo hazina heshima katika sura ya utu na ustaarabu. Na ndio mana nikasema jamii inajidhalilisha kabla yakudhalilishwa.
 
Back
Top Bottom