Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Kwa nini alikuwa anataka kuaminiwa zaidi na Wayahudi? Kwa nini ilikuwa ni jambo lenye umuhimu mkubwa kwake kukubalika na kuaminiwa na jamii ya Wayahudi ?Jambo hili linaelekea kwenye historia ya kidini na uhusiano mgumu kati ya Wayahudi na Uislamu katika zama za Muhammad . Ili kulielewa vizuri, ni muhimu kuzingatia muktadha wa kihistoria na kijamii:
1. Historia ya Wayahudi Arabia
Kabla ya Uislamu, kulikuwa na makabila ya Kiyahudi kama Banu Qurayza, Banu Qaynuqa, na Banu Nadir waliokuwa wakiishi Yathrib (sasa ni Madina).
Waliishi kwa karne nyingi na walikuwa na mila na maandiko yao ya Torati (Taurat).
2. Muhammad alipoanza kuhubiri Uislamu
Alipoanza kufikisha ujumbe wa Uislamu, alitaja kwamba yeye ni nabii wa mwisho aliyeletwa kuthibitisha maandiko ya kale (ikiwa ni pamoja na Taurat na Injil).
Alitarajia Wayahudi wangeamini ujumbe wake kwa kuwa waliamini manabii wa zamani.
3. Kwa nini Wayahudi wengi hawakumkubali?
Walitarajia Masihi (Masiha) kutoka katika uzao wao wenyewe, si kutoka ukoo wa Kiarabu (Bani Ismail).
Waliona mafundisho ya Muhammad kuwa tofauti na Torati yao, na baadhi yao walihisi kuwa anabadilisha au kuchukua maandiko yao.
Kuna baadhi waliomwona kama mpinga-iman (fraud) kwa sababu hakuwa sehemu ya mfululizo wao wa kinabii waliouamini (kutoka kwa Nabii Musa, Harun, nk).
4. Migogoro ya kisiasa na kijamii
Baada ya Hijra (kuhamia Madina), kulitokea mivutano ya kisiasa na usaliti kutoka baadhi ya makabila ya Kiyahudi dhidi ya Waislamu.
Baadhi ya makabila yalivunja mikataba na kushirikiana na makafiri wa Makka dhidi ya Waislamu.
Kwa hiyo:
Wayahudi waliomkataa Mtume Muhammad hawakumwona kama nabii wa kweli, na baadhi yao walienda mbali na kumuita “fraud” au “mdanganyifu” kwa sababu hakuwa katika mfumo wao wa imani, na kwa sababu ya tofauti za kisiasa na kiimani zilizojitokeza.
hii ilisababisha Muhammad kuwachukia sana Wayahudi na kuanza kutunga mistari mikali dhidi yao watu ambao hapo awali walikuwa wakimfundisha Torat na yeye akichukua hadithi za kwenye Torat toka kwao. Akawachukia sana na kuwaona ni maadui wakubwa wa Uislamu. Akawa anatunga Aya kali sana dhidi yao.
Aliamini angepata nguvu kubwa ambayo ingemsaidia sasa kuaminiwa tena na Wakristo. Kote walimkataa na kumwona tapeli.Kwa nini alikuwa anataka kuaminiwa zaidi na Wayahudi? Kwa nini ilikuwa ni jambo lenye umuhimu mkubwa kwake kukubalika na kuaminiwa na jamii ya Wayahudi ?
Ukisoma historia ya Mtume , uislamu plus mahusiano kati yake na wayahudi plus Rumi utagundua kuwa chuki zake binafsi aliziingiza mpaka kwenye kitabu chake kwa kuwarithisha kizazi mpaka kizazi.Jambo hili linaelekea kwenye historia ya kidini na uhusiano
Tuwekee UKWELI unao ujuaa ww🎤👂Porojo
Acha kuniqoutes narudia tena POROJO.Tuwekee UKWELI unao ujuaa ww🎤👂
Ref hii Aya halafu tuambie hii ni qauli ya MWENYEZI MUNGU au ni qauli ya muham mad aka allah??
👇👇
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ
[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
Alitunga Muddy kama kawaAcha kuniqoutes narudia tena POROJO.
Unatafsiri kama post ya fb?
Unajua hiyo aya ilishuka kwenye tukio gani?
Au kwakuwa unaweza tu kuona pametafsiriwa basi ndo inakuwa sawa na maana ya ulicholenga!