Bwana Bongo
Senior Member
- Dec 12, 2021
- 146
- 212
Nimesimuliwa
Chanzo cha usafiri wa umma kuitwa daladala.
Wakongwe muje hapa.
Alinihadithia babu kuwa zamani miaka ya nyuma kidogo kipindi usafiri wa magari kwa umma umeshamili hasa maeneo ya Dar es salaam basi asilimia kubwa ya nauli iliyopagwa na mamlaka husika ilikuwa ni shilingi dala kutokana na kulikuwa na ugeni juu aina ya usafiri wa ummw hata makonda wali makinika kwenye kutaja bei ya usafiri ambayo ilikuwa shilingi dala kuliko kutaja vituo kama siku hizi ambazo tumeshauzoea.
Chimbuko la usafiri huu kuitwa daladala ukaanzia hapa.
Pia ananisimulia kipindi hicho walikuwa wakipanda magari kwa ustarabu na utaratibu wa kupanga mistari vituoni hapakuwa na mambo ya kupenya madilishani kama huku kwetu mbagala[emoji16][emoji16]
Mie naona mfumo huu uludi au we unasemaje[emoji23][emoji23]
#wamakamo