Mhafidhina JF-Expert Member Joined Feb 6, 2008 Posts 549 Reaction score 23 Dec 15, 2010 #1 Wanajamvi mpo, salam aleikum...! Leo naomba kupata ushauri wa kidaktari (kitabibu) Nini chanzo cha vijambo na kucheua? KUna dawa ya kupunguza/kukomesha kucheua na kujamba? Hilo tu ndio swali langu...! Asanteni...!
Wanajamvi mpo, salam aleikum...! Leo naomba kupata ushauri wa kidaktari (kitabibu) Nini chanzo cha vijambo na kucheua? KUna dawa ya kupunguza/kukomesha kucheua na kujamba? Hilo tu ndio swali langu...! Asanteni...!
Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,472 Dec 16, 2010 #2 kwa lugha yako tu kama hii, kuongea bila hata aibu, inaonyesha kabisa wewe umetoka msikitini kuinama na kuswali. bila shaka. kwanini usitumie tafsida?
kwa lugha yako tu kama hii, kuongea bila hata aibu, inaonyesha kabisa wewe umetoka msikitini kuinama na kuswali. bila shaka. kwanini usitumie tafsida?