Njaa, inayosababishwa na Uvivu
Tamaa, ya kutaka vitu bila kuvitolea jasho
Kutokuwa na uelewa wa uongozi (leadership skills?)
Ulimbukeni na umimi-umimi
Kuutaka ucelebrity (umaarufu)
Mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Kama viongozi hawajasoma uongozi, sasa wanaongoozaje, au ndo hii inayosababisha kuongoza na kutoa kauli kama wanavyotaka wao kutokana na msukumu wa hisia zao.
Nimekuwa najiuliza mara nyingi sababu za kuwa na viongozi wabovu wanaokiuka maadili ya uongozi hapanchini ila sjapata jibu.
Nikafikiri labda ni kwa sababu kilichokuwa kuwa chuo cha uongozi kivukoni kilifungwa na haukuna tena chuo kama hicho.
Wana JF naombeni mchango wenu.
Kwa mawazo kama haya yako tumekuwa na nchi kama ilivyo na hali kama ilivyo.Mkuu uongezi hausomewi, kuongoza ni kipaji na kipawa toka kwa mwenyezi Mungu. Sisi tuna opportunists ambao wanajua kuwa siasa inalipa then wanaingia kwa ajili ya kupata utajiri!
Kwa mawazo kama haya yako tumekuwa na nchi kama ilivyo na hali kama ilivyo.
Pole sana kwa fikra potofu hii. Uongozi pamoja na kipaji unasomewa. Ukimpa mtu aliyemaliza darasa la tano kukuongoza hata kama ana kipaji bila elimu ya uongozi atakuongoza hadi hapo pa darasa la tano. Asante.
MF
Mkuu uongezi hausomewi, kuongoza ni kipaji na kipawa toka kwa mwenyezi Mungu. Sisi tuna opportunists ambao wanajua kuwa siasa inalipa then wanaingia kwa ajili ya kupata utajiri!
Pamoja na kuwa kuongoza ni kipaji na kipawa toka kwa mwenyezi Mungu, Mimi bado naamini kuna kusoma ili upate maarifa. Kusema kuwa si lazima mtu asome ndo aweze kuongoza, mimi bado sikubaliani nalo.
Tatizo la watu wanaosema si lazima kusoma, ndo hao wanao ghushi vyeti kwani wanaona si lazima kusoma bali uwe na cheti, na watu hawa ndo wanalipeleka taifa pabaya.
Kama una ushaidi wa viongozi ambao hauwakusomea uongozi na wnaongoza vizuri, basi naomba pia utuwekee ili tuwajadili hapa.