Chanzo cha viumbe vyote(Kisayansi)

Chanzo cha viumbe vyote(Kisayansi)

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
MTAZAMO WANGU Kutokana na tafiti ndogo nilizo ninadhani mwanzo kabisa kabla ya kuwepo chochote kulikuwa hakuna kitu yaani utupu.

Katika huu utupu kulikuwa na Nguvu au nishati isiyo umbwa ya NISHATI YA BARIDI na umeme na nyinginezo

Kwa hiyo hizi nishati zisizo umbwasiku hadi siku zilikuwa katika hali ya mabadiliko jambo liliko sababisha kuongeza ku umbika kwa nishati au vitu vingine vinavyo umbika vyenyewe kulikuwa na vitu ambavyo vilikuwa vinaumbika AUTOMATIC.

.Na hisi kabisa mwanzo kabisa kulikuwa na utupu katika huo utupu kulikuwa na nishati mbalimbali zilizo kuwepo. Muunganiko wa hizo nishati ulisababisha utokeaji wa viumbe mbalimbali
Mimi mwanzoni kabisa ya ulimwengu kulikuwa kuna utupu. Baada ya utupu kukaa kwa muda mrefu combination au reaction ya hizi nishati ambazo ni lazima tu ziwepo (mfano JOTO au BARIDI ni hali ambazo ni lazima tu ziwepo} ziilikuwa ziki sababisha utokeaje wa nishati nyingine na vitu vingine.Hizi NGUVU ZISIZO ONEKANA ambazo ni lazima tu ziwepo ndo zilisababisha viumbe.
 
Lazima tukubali ya kwamba lazima mwanzo kabisa kulikuwa na hakuna kitu lakini katika halihii ya kutokuwa hakuna kitu Kulikuwa na nguvu au nishati iliyo umbika Automatically kutokana na mabadiliko yaliyokuwa yanatokea yenyewe siku hadi siku.Combination hizi nishati zilikuwa zinazidi kusababisha uongezekaje wa nishati nyingine .Na combination ya baadhi ya nishati hizi ulisababisha utokeaji wa vitu.
 
Lazima tukubali ya kwamba lazima mwanzo kabisa kulikuwa na kitu au nguvu iliyo umbika Automatically kutokana na mabadiliko yaliyokuwa yanatokea yenyewe siku hadi siku.

Hapo kwenye Red ndipo tatizo lako lilipoanzia. Na hapo kwenye Blue ndipo lilipoishia. Kuhusu kutokuwa na ushahidi wa yale uliyowasilisha nadhani hili ni tatizo lako kuu na wanajamvi watanisaidia kwalo.
 
labda sema vitu vingine kama mawe,ila si viumbe hai.
Unaposema nishati ya baridi sidhani maana baridi ikizidi pia ni hatari kwa maisha ya viumbe,sasa itakwaje wazaliane humo.
 
Kutokana na tafiti ndogo nilizo ninadhani mwanzo kabisa kabla ya kuwepo chochote kulikuwa hakuna kitu yaani utupu.

Katika huu utupu kulikuwa na Nguvu au nishati isiyo umbwa ya NISHATI YA BARIDI na umeme na nyinginezo

Kwa hiyo hizi nishati zisizo umbwasiku hadi siku zilikuwa katika hali ya mabadiliko jambo liliko sababisha kuongeza ku umbika kwa nishati au vitu vingine vinavyo umbika vyenyewe kulikuwa na vitu ambavyo vilikuwa vinaumbika AUTOMATIC.

.Na hisi kabisa mwanzo kabisa kulikuwa na utupu katika huo utupu kulikuwa na nishati mbalimbali zilizo kuwepo. Muunganiko wa hizo nishati ulisababisha utokeaji wa viumbe mbalimbali
Mimi mwanzoni kabisa ya ulimwengu kulikuwa kuna utupu. Baada ya utupu kukaa kwa muda mrefu vitu vyenyewe vikaanza kuumbika automatic.

You just described the Big-Bang Theory -A scientific rendition of the the beginning of the universe. Nisichoelewa ni hii nishati ya baridi. Pia sina uhakika kama ni kweli hii nishati haikuwa na chanzo chake lakini kwa kuwa wana sayansi hawajui basi wanaiita singularity. Ukiwasikia scientists wanasema hii ni singularity basi wanamaana "we do not know squart - hatujui kitu"

Hapo pekundu ndivyo matter ilivyopatikana kupitia big bang. Mass is added to pure energy field through Higgs bosons (sometimes known as GOD PARTICLES). Utafiti wa particle physics kule Switzerland umethibitisha uwepo wa hizi Higgs bosons. This is the scientific admission of CREATION of the universe (sio ile ya Bibilia, Qu'ran au Torrah) but does not invoke GOD. Hapa matter is created from pure energy fields - weird stuff.
 
Kutokana na tafiti ndogo nilizo ninadhani mwanzo kabisa kabla ya kuwepo chochote kulikuwa hakuna kitu yaani utupu.

Katika huu utupu kulikuwa na Nguvu au nishati isiyo umbwa ya NISHATI YA BARIDI na umeme na nyinginezo

Kwa hiyo hizi nishati zisizo umbwasiku hadi siku zilikuwa katika hali ya mabadiliko jambo liliko sababisha kuongeza ku umbika kwa nishati au vitu vingine vinavyo umbika vyenyewe kulikuwa na vitu ambavyo vilikuwa vinaumbika AUTOMATIC.

.Na hisi kabisa mwanzo kabisa kulikuwa na utupu katika huo utupu kulikuwa na nishati mbalimbali zilizo kuwepo. Muunganiko wa hizo nishati ulisababisha utokeaji wa viumbe mbalimbali
Mimi mwanzoni kabisa ya ulimwengu kulikuwa kuna utupu. Baada ya utupu kukaa kwa muda mrefu vitu vyenyewe vikaanza kuumbika automatic.

uchunguz gan uliufanya ukagundua kulikua utupu?utaje palikua na nguvu,kutoka wapi?unaijua kwel taswira ya neno utupu?ukishaona kitu tu ujue ilo eneo sio tupu alkadhalika ukasikia au ukahisi kitu.
 
Hizi hadithi wanatakiwa wazisikilize watoto!

hizi ni hadithi sawa sawa na zile tulizo karirishwa kwa kutishwa toka utotoni...za biblia na quaran....ili naona zinafikia ukomo wake baada ya kizazi chetu i.e wajuu zetu
hawataamini huu ujonga
 
hizi ni hadithi sawa sawa na zile tulizo karirishwa kwa kutishwa toka utotoni...za biblia na quaran....ili naona zinafikia ukomo wake baada ya kizazi chetu i.e wajuu zetu
hawataamini huu ujonga

Unazungumzia hadithi zipi?
 
!
!
mwanzo kulikuwa na utupu.....na katika huo utupu tena palikuwa na nishati??
sawa nimekubali......haya hebu nifafanunulie vizuri kati ya utupu na nishati kipi kilianza?
. .
na huo utupu ulikuwa wapi?
 
Hizi hadithi wanatakiwa wazisikilize watoto!

Unapenda porojo hutaki sayansi.. tungeongea.. kufinyangwa kutoka kwenye udongo wa mfinyanzi na kupuliziwa pumzi.. ungefurahi na kucheka meno yako yote 32 nje
 
Unapenda porojo hutaki sayansi.. tungeongea.. kufinyangwa kutoka kwenye udongo wa mfinyanzi na kupuliziwa pumzi.. ungefurahi na kucheka meno yako yote 32 nje

Nimesema wapi napenda porojo?
Porojo ni kitu gani?

Nimesema wapi ningefurahia chochote achilia mbali kufinyangwa kwenye udongo?
 
!
!
mwanzo kulikuwa na utupu.....na katika huo utupu tena palikuwa na nishati??
sawa nimekubali......haya hebu nifafanunulie vizuri kati ya utupu na nishati kipi kilianza?
. .
na huo utupu ulikuwa wapi?

Hivi kwa akili yako yakawaida unadhani yakwamba mwanzoni kulikuwa na nini ? .AMINI AMIN NINAKWAMBIA HAKUNA SEHEMU YOYOTE ULIMWENGUNI AMBAYO HAINA JOTO AU BARIDI lazima tu sehemu yoyote iwepo mojawapo ya nishati hizo na huwa nishati hizo hazionekani bali huwa tunaona madhari yake.Kwa hiyo NI SHATI YA JOTO au BARIDI ni nishati pekee isiyo umbwa ambayo LAZIMA TU ITAKUWEPO .Kwa mantiki hiyo lazima tufuhamu ya kwamba ZILIKUWEPO ni shati zisizo umbwa ambazo kwa namna yoyote ile lazima ziwepo tunajua kabisa NISHATI HUWA HAIONEKANI BALI TUNAONA MATOKEO YA NISHATI.Kwa hiyo mwanzoni kulikuwa na hali ya ukiwa tena utupu lakini kulikuwa na nguvu fulani zisizo umbwa ambazo lazima tu ziwepo kama nilivyo toa mfano wa joto au baridi.NINAENDELEA KUSEMA.
 
Back
Top Bottom