The Family Wallet
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 5,849
- 9,643
Wanafunzi ndiyo waliochoma makanisaMaandamano ni yataendelea sababu
Maandamano ni ya wananchi wa Ufaransa wenyewe
Kudai ni wageni ni sio kweli
Wanafunzi wanalalamika Walimu wachache Mashuleni
Na Walimu wanadai vitendea kazi hakuna
Wanafundisha Wanafunzi wengi sana !!!!
Kwanzia jana kundi jipya limeingia kuandamana kwasasa ndio Fujo lazima zitokee!!!!
Wazungu wenyewe ndio Vinara wa Maandamano
Kama kudai waislamu kuwa wengi pale pale Ujerumani Uholanzi pia kuna Waislamu wengi lkn kumetulia kabisa
Hakuna picha Makanisa yakichomwa MOTO
Lkn tukumbuke WAZUNGU kwasasa hawapendi kwenda Makanisani
Ukiyakuta Makanisa yapo tupu mengine matumizi Yamebadilka nasasa kuko ivyo!!
Serikali zao za Ulaya wanapinga kuanzishwa Misikiti!!! !!!
Kwanini una post fake news? Ukiambiwa uweke taarifa yoyote rasmi ya serikali ya ufaransa kuhusu hiki ulichoandika nina uhakika huna maana umejitungia.Mpaka sasa makanisa 22 yamechomwa ila hakuna msikiti wowote ule uliochomwa
Genius kwa kuropoka? Mbona rahisi tu wazungu waache kuchochea vita Afrika au mashariki ya kati uone kama kuna mtu atakimbia nchi yake. Niambie kuna vita gani mashariki ya kati haina mkono wa USA? unategemea hao wakimbizi waende wapi kama sio ulaya?Lakini katika hilo Bunge kuna nchi zilipinga sana na kulikemea hili na nchi hiyo ni Poland na Slovakia, ila Poland ilikuwa mstari wa mbele ikiwakilishwa na mbunge Dominick Tarczynski, huyu jamaa ni genius balaa na anakuchana bila ya kukuonea haya
Fafanua mkuu, walikufanyajeFrance sio wa kuonea huruma,,na
Ktk wazungu washenzi na wakorofi wahuni,, ,hawa France ni hatari sn..
Na bado....
Walichonifanya Mimi walaaniwe,,
Na bado..
Ukiona unauchukia uislamu manaake una moja ya sifa zifuatazo, mlevi, mzinzi, msenge, basha, shoga, mcheza kamari, mchawi, mshirikina, mwizi. JitafakariUislamu ni upumbavu lazima uchukiwe na kupigwa vita ...na huu ndiyo mwanzo mpya ...waislamu sasa mnakwenda kupewa jina kamili .... sasa hivi dunia inskwenda kumtambua muislamu na Uislamu kuwa ni chukizo kamili...shikeni haya maneno yangu.
Twende mbele turudi nyuma tuliacha hisia, hawa jamaa zetu wakienda nchi za wenzetu wanakosa utu kabisa yani akili zinawaruka asee
Mkiruhusiwa kwenye nchi za watu mnataka utaratibu mliotoka nao mavumbini muende nao majuu asee hizi sio akili yani nikukaribishe halafu unipangie cha kufanya WTF..!