alipimwa miaka kama miwili iliyopita ikaonekana ana allergy ya vumbi la ndani na samaki , vitu vyote hivyo tunajitahidi kwa uwezo wetu viwe mbali naye lakini bado hali ndiyo hiyo.Wakati unaanza kumpa dawa za hospital ulifanya vipimo? Kama hapana kafanye vipimo kwanza halafu ndio utapatiwa tiba yake
Rudi tena hospital ukabadilishiwe tibaalipimwa miaka kama miwili iliyopita ikaonekana ana allergy ya vumbi la ndani na samaki , vitu vyote hivyo tunajitahidi kwa uwezo wetu viwe mbali naye lakini bado hali ndiyo hiyo.
Umri Wa mtoto plz,,elezea mazingira yako unayoyaishi na mototoWadau habari zenu,
Naomba kujuzwa chanzo na tiba ya mafua yasiyoisha kwa mtoto mdogo, nina mtoto ambaye karibia wakati wote ana mafua na wakati mwingine kikohozi tumejaribu dawa nyingi sana za hospitalini na hata za miti na matunda lakini hakuna matokeo mazuri kabisa.
Naomba msaada wenu.
Asanteni
Ushauri uliopatiwa ikiwa bado hajapona mwanao nitafute nipate kumtibia apate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi MkavuWadau habari zenu,
Naomba kujuzwa chanzo na tiba ya mafua yasiyoisha kwa mtoto mdogo, nina mtoto ambaye karibia wakati wote ana mafua na wakati mwingine kikohozi tumejaribu dawa nyingi sana za hospitalini na hata za miti na matunda lakini hakuna matokeo mazuri kabisa.
Naomba msaada wenu.
Asanteni
Mkuu habari yako, naomba tuwasiliane ,kama ulifanikiwa kwenye hili jambo nami unipe msaada ,changamoto sanaWadau habari zenu,