luckyperc JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 495 Reaction score 46 Jun 29, 2011 #1 Wanajamvi nisaidieni nina tatizo la misuli kukaza hasa msuli wa kwenye unyayo wa mguu. Je hii inasababishwa na nini.......?
Wanajamvi nisaidieni nina tatizo la misuli kukaza hasa msuli wa kwenye unyayo wa mguu. Je hii inasababishwa na nini.......?
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,144 Reaction score 6,942 Jun 30, 2011 #2 jaribu foot massage ... itakusaidia ! seating on one position kwa muda mrefu , maybe kuotokana na shughuli ufanyayo inaweza sababisha hilo tatizo
jaribu foot massage ... itakusaidia ! seating on one position kwa muda mrefu , maybe kuotokana na shughuli ufanyayo inaweza sababisha hilo tatizo