Je kuwachinja na kuwala hilo mbona hujaliona kua nalo ni ukatili na hujawahi lipigia kelele?Chuma kinawekwa katika moto mpaka kinaiva kisha anabandikwa mnyama kwenye ngozi. Mifugo ingeweza kutamka maneno nadhani matusi yake yasingevumilika.
Watu wa haki za wanyama-TSPCA mpo wapi?
Hakuna njia nyingine ya kuwawekea alama ambayo haiumizi mwili na kuharibu ubora wa ngozi?
Tuwatendee haki wanyama!
Naona hata bora wangewatoga masikio waweekee ile tag..Chuma kinawekwa katika moto mpaka kinaiva kisha anabandikwa mnyama kwenye ngozi. Mifugo ingeweza kutamka maneno nadhani matusi yake yasingevumilika.
Watu wa haki za wanyama-TSPCA mpo wapi?
Hakuna njia nyingine ya kuwawekea alama ambayo haiumizi mwili na kuharibu ubora wa ngozi?
Tuwatendee haki wanyama!
Kula wanyama sio ukatili bali ni agizo la Mungu.Je kuwachinja na kuwala hilo mbona hujaliona kua nalo ni ukatili na hujawahi lipigia kelele?