Chapati ya kuchambuka inavyo pikwa

Mimi napenda sana kypika na chapati ni moja ya vyakuka navyopenda kupika lakini mambo 2 yananipa shida sana kusuka iwe ya roundi na kuifanya iwe laini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…