Chapati ya kuchambuka inavyo pikwa

Nimejaribu sana,na nimekanda kwa staili nyingi sana,mfano kwa majinya baridi,maji ya uvuguvugi,nimekanda kwa siagi na kwa mafuta lakini sijaweza kufanikiwakufanya ziwe laini kama nazoziona kwenye mitandao
Umenichekesha sna hapa upo wapi?
 
Mimi nipo mwanza,mimi napenda kupika na kwangu nimenunua vifaa kika aina vya kupikia,majiko ya kila aina na najua kupika kwa kiasi changu
Ungekuwa dar ningetenga siku kwaajili yako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…