Chapati za kukanda

rainy forest

Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
91
Reaction score
41
Naombeni recipe ya chapati nzuri na tamu za kukanda.
Nataka huu uwe mlo wa leo nyumbani kwangu.

Pia ningefurah zaidi kama ukinipatia na mboga gani niitumie kwenye huo mlo. Binafsi nilipanga ziliwe na magarage ya nazi kwa nyama ya kukaanga.

Ijumaa kareem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…