Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wanajf, jaman naomba maarifa juu ya chapati za maji kuganda kwenye chuma, husababishwa na nini, na litokeapo nifanyeje ili chapati znazofata zitokee vizuri?
dah, asante nmefaham ila chuma changu cha samaki ni tofauti na cha kupikia chapati na mara nyengine hili tatizo hunitokea. Kuhusu kueka mafuta, huwa sieki kabla ndo maana!! Umenisaidia sana shukranChapati za maji sana sana
huganda kwenye chuma ambacho hukaangiwa sana samaki....kuepuka kuganda
saafisha vizur chuma chako then weka maji kiasi weka jikoni yachemke ili
kuondoa uchumvi wa samaki uliogandia then mwaga kabla hujaweka
mchanganyiko wa chapati za maji weka mafuta kiasi ili sizigandie....au
unaweza kuweka chuma maalum kwa ajili ya chapayi tu ila mafuta muhimu
weka kabla ya kukaanga kila chapati ya maji
Hakikisha chuma ni kisafi.
Katika mchnganyo wako tia na yai moja au mawili kutegemea na uwingi wa
uji
Pia usiweke maji mengi sana mchanganyiko wako hii atasababisha kukatika katika kwa chapati
dah, asante nmefaham ila chuma changu cha samaki ni tofauti na cha kupikia chapati na mara nyengine hili tatizo hunitokea. Kuhusu kueka mafuta, huwa sieki kabla ndo maana!! Umenisaidia sana shukran
ni kweli maji mi hukadiria, basi skunyengine huniponyoka yakawa yashazidi. Asante tena, na naomba utuletee recipe ya meatcake pliz
Ukitumia pan ya
non.stick chapati za maji unazisanif upendavyo. Unaweza kuzifanya zikawa
nyepesi hata km karatasi
Alafu chapi za maji zina madhara we endelea tu....
Kuna frying pan nyeusi zinaitwa non stick. Hizo ukipikia chochote unaosha tu na dodoki na sabuni kinatakata. Moe nakaangia mboga, chapati, samaki, nyama! Tafuta hiyo.
Wakati wa kukoroga unga usitie maziwa, na utumie maji ya baridi kabisa. Unga uwe mzito kama alivyokwishasema farkhina
Non stick zipo za kichina, tafuta brand ya Tefal hata kama hujuw kupika uta enjoy
Ni kweli, tatizo jingine hasa kwa nchi zetu ni ubora wa frying pansChapati za maji sana sana huganda kwenye chuma ambacho hukaangiwa sana samaki....kuepuka kuganda saafisha vizur chuma chako then weka maji kiasi weka jikoni yachemke ili kuondoa uchumvi wa samaki uliogandia then mwaga kabla hujaweka mchanganyiko wa chapati za maji weka mafuta kiasi ili sizigandie....au unaweza kuweka chuma maalum kwa ajili ya chapayi tu ila mafuta muhimu weka kabla ya kukaanga kila chapati ya maji
Ni kweli, tatizo jingine hasa kwa nchi zetu ni ubora wa frying pans
nyingi bado ni "sticky" if you get a non-sticky pans unaweza kukaanga chapati hata bila ya mafuta