Chapuo kwa Young Dee, Young Killer Msodoki, Dogo Aslay na Lulu

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Mwaka 2013 pale nchini Uganda, Proscovia Oromait aliweka rekodi ya kuwa The Youngest MP in the World baada ya kuchaguliwa akiwa na miaka 19 tu.

Sasa basi huu ni wakati muafaka wa vijana wetu macelebrity, nazungumzia washkaji zake Le Mutuz yaani Young dee, Young Killer Msodoki, Dogo Aslay na LULU kugombania Ubunge. They are energetic na watasaidia sana kutetea vijana, najua wengine mtakuja na blah blah za elimu lakini msisahau sifa ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu.

Vijana ni taifa la leo sio kesho, tuwasapoti maceleb wetu.
 
Post ya kijinga. Kama huna cha kuandika basi soma za wenzio tu na ukalale
 
Hujaona jina analotumia " maa tope? ??????? We tafsiri vyovyote ndo uwezo wake wa kupambanua na kuichanua akili yake ulipofikia.
 
mnachokasirika hapo ni nini, kwamba hawawezi kuwa wabunge? mbona kibajaj ni mbunge..argue with facts don't shout ,don't hurl insults...dunderheads
 
kwa wengi hii itakuwa ni moja kati ya post nyingi za kijinga ndani ya hii forum ila hii ni kwa kuwa wanatumia akili ndogo sana kuchambua mambo! Amejaribu kutuonyesha hatari iliyopo endapo tutaendelea na sheria zetu mbovu mbovu ambazo zinapigiwa chapuo na majinuni wa CCM! Kama kigezo cha kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika kwanini LULU asigombee? Kuandika Young Dee anajua, naye agombee tu hata Young Killer akitaka kuchukua fomu ni sawa tu! Hatujui tunataka kwenda wapi na kwanini tunataka kwenda huko, ramani ya nini?
 
Amini nakuambia upeo wako wa kufikiri upo mbingu ya saba na hao wanaokudhihaki hata mbingu ya pili hawajaifikia.
 
Mwaka 2013 pale nchini Uganda, Proscovia Oromait aliweka rekodi ya kuwa The Youngest MP in the World baada ya kuchaguliwa akiwa na miaka 19 tu.

Sasa basi huu ni wakati muafaka wa vijana wetu macelebrity, nazungumzia washkaji zake Le Mutuz yaani Young dee, Young Killer Msodoki, Dogo Aslay na LULU kugombania Ubunge. They are energetic na watasaidia sana kutetea vijana, najua wengine mtakuja na blah blah za elimu lakini msisahau sifa ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu.

Vijana ni taifa la leo sio kesho, tuwasapoti maceleb wetu.

Safisha kwanza hayo matope kwenye makalio yako..yanaongeza uzito wa makalio yako na kuifanya akili yako izubae
 
Your comment shows how Utterly absurd you are, lame duck son of the bitch, is that the best you can do?
 
Most ever stupid, nasty member, #maatope U HV NO IQ AT ALL.....mfckr...!!! stupid ever thread as u r...!!! Of which, ur exactly a bitch...!!! fck up...!!!
 
Waoh, Do you think you are pedantic?a highbrow? my friend you are not, you are muttonheaded,dumb ass kabisa kwenda eti mr President, remove that avatar ASAP, Obama is not Vacous like your sorry ass
 
Men? Seriously? Duh...mijianaume ya kiafrika inapambana hivi?
 
mwanzisha thread uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mno , w kweli matope
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 23rd February 2012
Location : Mbeya
Posts : 948
Rep Power : 60816297
Likes Received185
Likes Given20

[h=2]
icon1.png
Re: Mziki Unalipa: Mwana Fa aonyesha jeuri ya fedha[/h]
comment nyingi za humu ndani zinaonyesha uhalisia wa watanzania, karibu kila comment inalenga kuponda mafanikio ya huyu msanii, yaani wabongo wengi wana wivi wa mafanikio ambayo hawawezi kuyapata, kibaya zaidi haya mafanikio ndio yanakuwa chanzo cha chuki, guys wake up this guy is already a role model to others, mafanikio hayaji kirahisi kinamna hivyo, big up f.a more success, more friends and more haters​

kwa wengi hii itakuwa ni moja kati ya post nyingi za kijinga ndani ya hii forum ila hii ni kwa kuwa wanatumia akili ndogo sana kuchambua mambo! Amejaribu kutuonyesha hatari iliyopo endapo tutaendelea na sheria zetu mbovu mbovu ambazo zinapigiwa chapuo na majinuni wa CCM! Kama kigezo cha kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika kwanini LULU asigombee? Kuandika Young Dee anajua, naye agombee tu hata Young Killer akitaka kuchukua fomu ni sawa tu! Hatujui tunataka kwenda wapi na kwanini tunataka kwenda huko, ramani ya nini?

uko vizuri sana
 
Mwanzisha thread unatoambwa mkuuduni na wachawi hicho ndo cha kutueleza sisi
 
Jamani mbona mnatukanana hivyo Hamuoni aibu? ebu kuweni waungwana nyote mna mama....
 
Back
Top Bottom