chaputa na kununua K hakuwezi kwisha hata siku moja

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari wanamkeka?
Wanaume akiri zikihamia kichwa kidogo, mwili wote unasizi kufanya kazi, mpaka kichwa kidogo kiflashiwe. Sasa unakuta siku hiyo ndio akili zishahama unarudi nyumbani kwa mama mwenye nyumba mvua imenyesha, unampigia simu mchepuko wako anakwambia nyumbani kuna wageni labda keshokutwa. Kifuatacho unabet tu nikanunue au nikapige selfie?
 
Kununua ndio mpango mzima tofauti na chaputa
 
We jamaa inaonekana kubet kumekuathiri sana.
Ok both teams will score.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…