Chaputa national election

Mie naomba nitangaze nia ya katibu mwenezi wa chama chetu pendwa Chaputa""
Nitashirikiana vyema na Mwenyekiti wetu Kichwa Kichafu huku nikiahidi kuleta picha zitakazohamasisha shughuli katika chama chetu inoge"""

Mashuleni hawatotumia tena sabuni bali watatumia mafuta ya kupikia maharagwe"""

Cc Katibu Chaputa
 
CHAPUTA OYEE! CHAPUTA SAFIII!!! KWANZA KABISA NIWASHUKURU WANACHAMA WENZANGU KWA KUNIONYESHA USHIRIKIANO KTK UCHAGUZI ULIOPITA JAPO KICHWA KICHAFU ALINIIBIA KURA KULITOKEA JANJA NYINGI NADHAN MMEONA KTK KIPIND CHAKE CHA UONGOZI AMESABABSHA CHAMA KUPOTEZA HESHIMA WATU WANAANZSHA UZI KUFANANISHA CHAPUTA NA MICHICHAMIBWA BASI SINA MENGI SANA .NIPE KURA ZENU KWA MAENDELEO YA CHAPUTA
 
Nikiwa Kama mgombania wa kiti cha uwenyekiti ofisi yangu kupitia katibu na wanachama nitafanya mabadiliko mengi ili kukuza ustawi wa chama Chetu. (a)Nitahakikisha elimu inatolewa kwa watu wote juu ya dhana potofu walionayo kuhusu chaputa niwaase tu wananchi hii ni njia sahihi ya kuepuka vizinga. (b)nitaboresha miundombinu na njia ambazo zitawafanya wanachama wangu wafurahie matunda ya chaputa. (c)nitaangalia maslahi ya wanawake pia kwa upande wa chaputa pia semina elekezi itatolewa juu yao kwa kushirikiana na wajumbe wangu kwan mchango wao bado ni mdogo kwenye chama. (d)nitawapa fursa na nafasi wabunifu binafsi kuhusiana na chaputa wawaelimishe wanachama kwa maendeleo ya chama. Namaalizia kusema asante na nitashukuru kwa ushirikiano japo washaanza kunipiga vita na kuniwekea vikwanzo na vuguru ktk kampeni zangu najua huyu atakuwa mpinzani wangu lakin nimuhakikishie tu nitashinda tu kwa support ya wanachama .chagua GH chagua kwa maendeleo ya chaputa
 
Kwa kweli nipo hapa kumuunga mkono mwenyekiti mtarajiwa Kichwa Kichafu
Mipango yake na ushiriki wake katika chama si wa kutilia mashaka.
Mimi kama campaign manager wa mh Kichwa Kichafu natangaza rasmi kuanza kwa kampeni upande wa mgombea wetu.

Kauli mbiu
Kura yako kwa mgombea wetu kwa maendeleo ya chama chetu
 
Naomba niwe mfadhili wenu kifedha katika kampeni yenu..
 
TAARIFA
Wanawake,warembo,wadada,wasichana,wakinamama na mabinti hawataruhusiwa kupiga kura ila wataruhusiwa kuchangamsha kampeni tu kwa kuchangia mjadala. Hii ni kutokana na kuwa na tishio la kupoteza wanachama baada ya taarifa za kiintelijensia kuonesha kupungua kwa kasi kwa wanachama wetu.
Karibuni
 
Naona inaanzishwa Chaputa lipumba sasa? Hamridhiki na uongozi wangu? Au tamaa ya madaraka?
 
Una kadi namba ngapi mkuu? Muasisi nakuangalia tu unavyonyemelea kiti
 
Waheshimiwa....kwenye Bunge la Senate CHAPUTA..Msinisahau Nagombea usenator kutoka Kajunjumele apa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Napenda kutoa rai kwa wanachama waliopo Darisalama,kuipuuza kauli ya kiongozi wa jiji hilo la kuwataka mfute picha na video pendwa katika simu zenu,maana kauli hiyo haina mapenzi mema kwa Chama na sio ya kizalendo.Wanachama mjitokeze kwa wingi kupiga kura maana ni haki yenu kikatiba.
kidumu Chama....
 
Mimi hapa Nina miaka Zaid ya minane nakula nyeto kila siku
365×8=2980
Kila bao=sperms>million 100
Kwa hiyo mpaka Sasa hivi nishamwaga watoto zaidi ya trillion mbili
Mnaachaje kunipa hata ubunge
Hapana hatukupi hadi udiwani. Tunakupeleka jera kwa kifungo cha maisha kwa kosa la mauaji kwa viumbe visivyo na hatia.
 
Ndungu wanachama,

Hadi sasa tume ya uchaguzi imepokea wanachama wawili ambao wametangaza nia ya kuchukua nafasi ya uenyekiti wa chama cha chetu cha CHAPUTA kwa miaka mitatu ijayo.

Wanachama hao ni Kichwa Kichafu na gh hussa

Kwa kuwa muda uliopendekezwa kupokea maombi umeisha, basi tume imeshafunga dirisha la maombi na halitapokea maombi yoyote kuanzia sasa.

Uchaguzi utafanyika siku ya jumapili. Kwa hiyo muda huu ni muda wa wagombea kunadi sera zao na wa jumbe kuwauliza maswali kuhusu maendeleo na mustakabali wa chama chetu.

Asante

Mwenyekiti,

Tume cha uchaguzi CHAPUTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…