Chaputa tubadilishane uzoefu;kwa siku unapiga puli Mara ngapi?

Huwa nashangaa nnaposikia mwanaume ana umri Wa 20+ afu anasema hajawah piga nyeto,kama wapo basi katka makuz yao walikuwa na mademu hawakujchanganya na wanaume wenzao
wengi wao huwa waongo 98% ya wanaume dunia nzima wamefanya huu mchezo kwa nyakati tofauti

hiyo 2% inayobaki ndio wale wenye matatizo either erectile dysfunction au mengine

lakn kama upo kamili 100% kiduku lazma upige katika hatua za balehe na ukizubaa utapiga maisha yote
 
wengi wao huwa waongo 98% ya wanaume dunia nzima wamefanya huu mchezo kwa nyakati tofauti hiyo 2% inayobaki ndio wale wenye matatizo either erectile dysfunction au vipi lakn kama upo kamili 100% kiduku lazma upige
waambie mkuu,
 
Madhala yake mengine ni kuzaa watoto matahila au kukosa kabisa, maana mbegu nyingi za maana usha ua kitambo huko toilet na bafuni n.k
 
Tuli fanyaga tukiwa bado wadogo na tuka acha,
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ subiri principal members waje na povu apa
Ma povu wa peleke huko mbali lakini huo ndo ukweli kaka, watu wana jisifia kabisa kwa kufanya ujinga huo. Kwanza hata ktk vitabu vya dini vina kemea sana hiyo kitu
 
Nilishakuwaga member wa hili chama nikaacha miaka 3 nyuma nilikua mtumwa hadi kwenye vyoo vya nyumba za ibada najilipua!
Kisha najutia nikishamaliza
 
Ma povu wa peleke huko mbali lakini huo ndo ukweli kaka, watu wana jisifia kabisa kwa kufanya ujinga huo. Kwanza hata ktk vitabu vya dini vina kemea sana hiyo kitu
tulia nao wafaidi kama 'ulivyofaidi wewe'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…