Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
CHAPUTA (Chama Cha punyeto Tanzania) kimepata pigo baada ya serikali yao pendwa kupiga ban vichocheo vya kazi yao, yaani picha na video za raha utamu.
Wanaendelea kuiunga mkono serikali lakini wameumia kwakuwa hawakupewa muda wa kujiandaa. Wanasema kama wangepewa muda wa angalau masaa 12 wangepakua vichocheo vya kutosha.
Wengine wanasema VPN zao walishazifuta baada ya Twitter kurudi mtaani rasmi.
CHAPUTA wanaisihi serikali iwape angalau masaa 4 tu ya kujihami.
Kauli mbiu ya CHAPUTA kwa wasiojua ni hii;
CHAPUTA: Hakuna ya kutolea, Hakuna stress raha jipe mwenyewe