Character gani ulimkubali zaidi kwenye series

Character gani ulimkubali zaidi kwenye series

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Kwa watazama series kama mimi kwenye series nyingi ulizotazama kuna Character ambae ni bora zaidi na alikufurahisha zaidi

Binafsi Styles Stilinky wa kwenye TeenWolf hana mpinzani

Niambie wako alikua nani!?
 
Nilikuwa namkubali sana huyu 'character'😁😁😁

1098090.jpg
 
Kwa watazama series kama mimi kwenye series nyingi ulizotazama kuna Character ambae ni bora zaidi na alikufurahisha zaidi

Binafsi Styles Stilinky wa kwenye TeenWolf hana mpinzani

Niambie wako alikua nani!?
TeenWolf ni series nimeiangalia zaidi ya mara mia na sijawahi kuichoka,

Vituko vya Stiles havijawahi kunichosha,

Captain Jack Sparrow, (japo hii ni movie) lakini sijawahi kuchoka kumuangalia yule mwamba

Niklaus Mikaelson wa kwenye THE ORIGINALS,

Huyu nilimkubali pia na kwenye Vampire Diaries pamoja na Damon Salvatore.
 
Back
Top Bottom