marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Anaitwa nanimwingne ni yule jamaa wa Peaky Blinders nae alinivutia style yake
Huyu ni character?Gustavo Frings
AngaliaThe Boys yupo humo, sema utamchumkia maana ndio adui. Ila kanifurahisha sana kwenye The BoysAsee star wa BANSHEE yule mwamba nilikubali style yake mpaka sasa natafuta Series misili ile [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
AngaliaThe Boys yupo humo, sema utamchumkia maana ndio adui. Ila kanifurahisha sana kwenye The Boys
Jamaa alikuwa anakwambia "no one hurts my family and lives"Elijah Mikaelson( The originals)..anafanya chochote(despicable things) in the name of Family
I second youAgent Jack Baur kwenye 24 hrs.
Jamaa alikuwa anakwambia "no one hurts my family and lives"
Hujaangalia Breaking Bad?Huyu ni character?
TeenWolf ni series nimeiangalia zaidi ya mara mia na sijawahi kuichoka,Kwa watazama series kama mimi kwenye series nyingi ulizotazama kuna Character ambae ni bora zaidi na alikufurahisha zaidi
Binafsi Styles Stilinky wa kwenye TeenWolf hana mpinzani
Niambie wako alikua nani!?
Itakua Thomas Shelby tu.Anaitwa nani