Character gani ulimkubali zaidi kwenye series

Klaus Michaelson - the original
Scott McCall - teenwolf
Damon Salvatore - vampire diaries
Joseph Goldberg- you
Dexter morgan- Dexter
Frank-shameless
Ah sahn- worrior
Raymond- the blacklist
Barry Allen - the flash
Oliver queen- arrow
Hope mikaelson- legacies
Clark kent- Smallville
Queen Regina- once upon time
Larry- Doom patrol
Assane Diop- lupin








Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Namkubali sana klaus mikaelson.

Kijamaa kina mwili mdogo ila m'babe balaa,anaogopeka sana na anajiamini kupita kiasi.
 
Damon nilikuwa namkubali kabla ya kuja klaus, alivyokuja mwamba nilimwelewa sana.kwenye vampire diaries.
 
Halafu bado gentleman.
Klaus alikuwa Akianza kutisha watu "I will tear you from limb to limb"
ila ndo alikuwa most powerful Being

anakupa “I will kill you and everyone you’ve ever met”

dah yule Jamaa alikuwa ana mbwembe ila Kiboko yake ilikuwa Caroline..akikutana nae lazima awe mpole[emoji28]...hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
anakupa “I will kill you and everyone you’ve ever met”

dah yule Jamaa alikuwa ana mbwembe ila Kiboko yake ilikuwa Caroline..akikutana nae lazima awe mpole[emoji28]...hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Huu mkwara sio wa Nchii hii
 
Namkubali sana "elex mahone "huyu jamaa anajua sana aisee.
Nilisha ambiaga huyu jamaa ndio angelua Pilisi wa hii series yao wanayo iita Money Heist angewakamata wote na proffesor wao in one episode
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…