Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliona kwenye group moja whatsapp, za kuagiza kwa oda kutoka chaina (china)Niaje waungwana..
katika pitapita zangu nimekutana na pasi za umeme ambazo functioning yak ni baada ya kucharge kama simu..
je, ni wapi kwa hapa bongo ntazipata, na bei yake ipo je?