L Luhan12 JF-Expert Member Joined Nov 10, 2019 Posts 550 Reaction score 723 Feb 8, 2021 #1 Niaje waungwana katika pitapita zangu nimekutana na pasi za umeme ambazo functioning yak ni baada ya kucharge kama simu. Je, ni wapi kwa hapa bongo ntazipata, na bei yake ipo je?
Niaje waungwana katika pitapita zangu nimekutana na pasi za umeme ambazo functioning yak ni baada ya kucharge kama simu. Je, ni wapi kwa hapa bongo ntazipata, na bei yake ipo je?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Feb 8, 2021 #2 Luhan _chen said: Niaje waungwana.. katika pitapita zangu nimekutana na pasi za umeme ambazo functioning yak ni baada ya kucharge kama simu.. je, ni wapi kwa hapa bongo ntazipata, na bei yake ipo je? Click to expand... Niliona kwenye group moja whatsapp, za kuagiza kwa oda kutoka chaina (china) Kwa hapa bongo sijui ni duka gani zipo, ngoja waje wataalam
Luhan _chen said: Niaje waungwana.. katika pitapita zangu nimekutana na pasi za umeme ambazo functioning yak ni baada ya kucharge kama simu.. je, ni wapi kwa hapa bongo ntazipata, na bei yake ipo je? Click to expand... Niliona kwenye group moja whatsapp, za kuagiza kwa oda kutoka chaina (china) Kwa hapa bongo sijui ni duka gani zipo, ngoja waje wataalam