Charges za Simbanking zikoje?

Charges za Simbanking zikoje?

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
5,262
Reaction score
12,855
Habari zenu wakuu,

Naomba msada kwa anayejua Charges za Simbanking kutoka Account ya CRDB kuhamisha kwenye account ya NMB kwa kiasi cha kama 2m mbili makato ni kiasi gani?

Si mnajua kwasasa kila shilling counts, hali sio hali.
 
Ni gharama kidogo approximately 8000 hadi 10000 kwa muamala.Rahisi ni CRDB kwenda CRDB Kama 1200.

Nashauri itoe kwa teller then kaiweke kwa wakala wa NMB
 
Ni gharama kidogo approximately 8000 hadi 10000 kwa muamala.Rahisi ni CRDB kwenda CRDB Kama 1200.

Nashauri itoe kwa teller then kaiweke kwa wakala wa NMB
Ahsante mkuu mie natumia mtu mkoani kutoa crdb simbaking kuenda acc ya Nmb yake.
 
Back
Top Bottom