Kama umeisikia na kubarikiwa sana na Christo-Centric Gospel yaani Ujumbe wa Kristo ambao ni wokovu kwa neemaa kwa njia ya imani katika kufa na kufufuka kwa Kristo Yesu huwezi kuendelea kubakia tuu mwanafunzi wa kwenye mitandao. Hakuna mwanajeshi anajifunzia mtandaoni ndio maana wanawekwa kambini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji848]Unataka kukua kiroho?
Unatamani kufika katika kambi bora kabisa la kujifunza Neno la Mungu?
Njoo jiandikishe inbox mapema sasa usikose nafasi...
Kambi la kuweka alama katika maisha yako!
Kambi la kugeuza fikra zako kwa habari ya mambo ya Mungu...
Ni katika msisitizo wa Neno katika kina na Roho...
The Supernatural flow of the Spirit and power in epignosis [emoji1434][emoji1434]
Clarity and accuracy!
Maswali yako yote yatajibiwa...
[emoji736]Kwa habari ya wokovu
[emoji736]Kwa habari ya karama na utendaji wake etc..
Utakosaje hii??!View attachment 2138207
Kambi itafanyika Morogoro sekondari. Ni kwa watu wa rika zote na dini zote. Chakula na malazi mshiriki atachangia sh 30,000 tu kwa siku zote 4. Mada kuu ni NENO KATIKA KINA NA ROHO.weka mambo ya msingi rafiki angu,kambi iko wapi? inahusisha watu gani? utaratibu wa chakula,malazi na usafiri upoje? ni mambo yapi yanaenda kujadiliwa na kufanyika huko?