Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Hakuna kitu hapo,It is just politics,Jamaa anatengeneza mazingira ya kugombea Ubunge nothing else.Wakuu kwema Nimeona CRDB wamekuja na Kitu kinaitwa Kopa ngombe Ulipe maziwa ambacho kiko run na CRDB foundation, Millard ayo ameenda Kufanya Covering ya Hio promotion
Ajabu ni kuwa issue Hii Mkurugenzi mtendaji bwana Nsekela kainzia kwao kabisa Bukoba Huko.
Hongereni pia kwa ubunifu
CEO pekee ambaye hajawahi tokea CRDB ni Charles Stephen Kimei. Haitawahi tokea.Wakuu kwema Nimeona CRDB wamekuja na Kitu kinaitwa Kopa ngombe Ulipe maziwa ambacho kiko run na CRDB foundation, Millard ayo ameenda Kufanya Covering ya Hio promotion
Ajabu ni kuwa issue Hii Mkurugenzi mtendaji bwana Nsekela kainzia kwao kabisa Bukoba Huko.
Hongereni pia kwa ubunifu
Haitawahi kutokea?!! dah aisee, Mungu shemeji yako sioCEO pekee ambaye hajawahi tokea CRDB ni Charles Stephen Kimei. Haitawahi tokea.
Kemei ana nini cha ajabu? Unaweza kuta CRDB imefika hapo kwa baadhi ya Watendaji kuwafanya kazi zaidi hata ya huyo Mkurugenzi.CEO pekee ambaye hajawahi tokea CRDB ni Charles Stephen Kimei. Haitawahi tokea.
Jamaa mshamba Sana, ndio maana kajiita loose nut, nut imelegea kichwani sio kosa lake mkuuKemei ana nini cha ajabu? Unaweza kuta CRDB imefika hapo kwa baadhi ya Watendaji kuwafanya kazi zaidi hata ya huyo Mkurugenzi.
Kemei sionagi cha ajabu na utambue taasisi kama hiyo inafanya kazi kwa mfumo.
Wewe unakufuru hapa kusema hatatokea maana wewe Mungu anafahamiana naye na unampangia cha kufanya.
Mbunge wa Kyerwa ni mdogo wake!Hakuna kitu hapo,It is just politics,Jamaa anatengeneza mazingira ya kugombea Ubunge nothing else.
Kimei katoka nayo chini kwenye mavumbi.Haitawahi kutokea?!! dah aisee, Mungu shemeji yako sio
Sawa Nsekela tumekusikia. Ila Kumbuka Kimei katoka na CRDB mavumbini kipindi hicho. Na kwa taarifa yako Nsekela bila Kimei usingeenda Uingereza kusoma. Usijisahulishe yeye ndio kakutoa Iringa kuja Dar. Uwe na shukrani.Kemei ana nini cha ajabu? Unaweza kuta CRDB imefika hapo kwa baadhi ya Watendaji kuwafanya kazi zaidi hata ya huyo Mkurugenzi.
Kemei sionagi cha ajabu na utambue taasisi kama hiyo inafanya kazi kwa mfumo.
Wewe unakufuru hapa kusema hatatokea maana wewe Mungu anafahamiana naye na unampangia cha kufanya.
Kwa hiyo hatakuja kutokea kama huyo kimei Tena sioKimei katoka nayo chini kwenye mavumbi.
Leo unamwita Kimei mshamba? Duh!Jamaa mshamba Sana, ndio maana kajiita loose nut, nut imelegea kichwani sio kosa lake mkuu
CRDB matapeli wakubwaNaona kwasasa CRDB wamejikita sana katka kupromo benk yao, maana kwa huduma mbovu walizonazo ilikua inaelekea kujifia, wameamua waiamushe kwa spid ya 5G.
Hizo ni promo tu, hamna kitu hapo, wameona kuwa anguko lao lilikuwa karibu wameshtuka wakaja na promo hizo! Tena ukichanganya na hizo nyela za wahudum wao huwa wanajiona kama dunia wameimalza, hamna kitu hapo!
Hatawahi hiyo ni rekodi yake. Wote wamekuta nyumba imepauliwa bati. Wao wanafanya finishing tu.Kwa hiyo hatakuja kutokea kama huyo kimei Tena sio
Hahaha haya Bwana asante kwa kinibatiza jina jipya.Sawa Nsekela tumekusikia. Ila Kumbuka Kimei katoka na CRDB mavumbini kipindi hicho. Na kwa taarifa yako Nsekela bila Kimei usingeenda Uingereza kusoma. Usijisahulishe yeye ndio kakutoa Iringa kuja Dar. Uwe na shukrani.
Nawe unaushemeji na MunguHatawahi hiyo ni rekodi yake. Wote wamekuta nyumba imepauliwa bati. Wao wanafanya finishing tu