Uchaguzi 2020 Charles Kimei unatuaibisha wana Vunjo

Uchaguzi 2020 Charles Kimei unatuaibisha wana Vunjo

Majasho

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2009
Posts
413
Reaction score
220
Mgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.

IMG_1599197577.744510.jpg
IMG_1599197614.000241.jpg
 
Punguza ujinga wako, hapo alienda eneo linalokaliwa na wamasai na wakampa cheo kuendana na tamaduni za kimasai.
Pumbavu kabisa, alishikiwa bastola? Kwanini hakukataa mambo hayo ya kishirikina!
 
Malizaneni nae kibingwa kwenye sanduku la kura
 
Back
Top Bottom