EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kumbe kwenu Mungu wa Kiafrika mnamwita Shetwani!Ndo zilimpaisha hata huko CRDB. Wachaga wanapenda sana mambo ya kishetwani.
Hiyo dini ulijifunzia wapi?! Mungu ni mmoja tu, hakuna Mungu wa kiafrika wala wa kichaga.Kumbe kwenu Mungu wa Kiafrika mnamwita Shetwani!
Yaani wewe jamaa ni mpuuzi Sana. Huyo Mungu aliyeletwa na mashua miaka 100 tu iliyopita ndo anakufanya uikatae Mila iliyodumu kwenu zaidi maelfu ya miaka? Shwain kabisa. Tena habari ya Mungu mmoja achana nayo huijui. Buddhist Wana Mungu wao, waislamu Wana Allah wao, wayahudi Wana Jehovah wao, wakatoliki Wana Yesu wao Sasa wewe huyo Mungu mmoja unamtoa wapi?Hiyo dini ulijifunzia wapi?! Mungu ni mmoja tu, hakuna Mungu wa kiafrika wala wa kichaga.
Mimi natamani nikistaaafu niwe na mradi wangu mdogo tuu wa kunifanya nitoke nyumba hata kwa masaa manne kwenda kuusimamia badala ya kazi za kinitenga na familia uzeeni.Mgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.
View attachment 1557923View attachment 1557925
Mkuu ukiingia kwenye siasa hasa hizi za kibongo lolote laweza kutokeaSikujua Kama huyu Mh niliyempa heshima Sana anaweza kuwa mpuuzi kiasi hiki[emoji33]
Dini ya kujifunza tena? Mimi dini yangu nilizaliwa nayo. Wewe endelea kujifunza.Hiyo dini ulijifunzia wapi?! Mungu ni mmoja tu, hakuna Mungu wa kiafrika wala wa kichaga.
Yesu si wa wa-katoliki, wala si Mungu. Mwenyewe kanukuliwa kwenye Biblia mara kadhaa akimwita Mungu baba yake. Mungu ni mmoja tu, muite Jehovah au jina lolote lakini ukweli unabaki kuwa ni mmoja. Unapojaribu kumshirikisha na hivyo vi-mungu vyenu vingine vya ovyo ovyo (impotent gods) ndio waamini wa kweli tunaouita ushirikina.Yaani wewe jamaa ni mpuuzi Sana. Huyo Mungu aliyeletwa na mashua miaka 100 tu iliyopita ndo anakufanya uikatae Mila iliyodumu kwenu zaidi maelfu ya miaka? Shwain kabisa. Tena habari ya Mungu mmoja achana nayo huijui. Buddhist Wana Mungu wao, waislamu Wana Allah wao, wayahudi Wana Jehovah wao, wakatoliki Wana Yesu wao Sasa wewe huyo Mungu mmoja unamtoa wapi?
Mila na desturi zinatambulika kikatibaMgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.
View attachment 1557923View attachment 1557925
Mkuu Majasho, acha ushamba na kasumba ya kudharau mila, matambiko ni kawaida sana kwa mila zetu nyingi za Kiafrika na imani za kiasili.Mgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.
View attachment 1557923View attachment 1557925
Duh. Kumbe Kimei ni Mchawi
Matambiko ni mila na sio uchawi!.Tambiko ni uchawi???
Hahaaa aisee kazi unayo. Endelea na imported Mungu wako.Yesu si wa wa-katoliki, wala si Mungu. Mwenyewe kanukuliwa kwenye Biblia mara kadhaa akimwita Mungu baba yake. Mungu ni mmoja tu, muite Jehovah au jina lolote lakini ukweli unabaki kuwa ni mmoja. Unapojaribu kumshirikisha na hivyo vi-mungu vyenu vingine vya ovyo ovyo (impotent gods) ndio waamini wa kweli tunaouita ushirikina.
Take it or leave it.Hahaaa aisee kazi unayo. Endelea na imported Mungu wako.
Tena ramli chonganishi ya kuwaombea majanga washindani wake.Acha uongo ww hapo alikua anapiga lamli?
Please usikashifu mila zetu za kiasili za Kiafrika, za kufanya matambiko kutaita upuuzi!.Sikujua Kama huyu Mh niliyempa heshima Sana anaweza kuwa mpuuzi kiasi hiki[emoji33]