G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Naomba nikuulize maswali yafuatayo:
1. Kilichosainiwa kwenye HGA kati ya DPW ulikifahamu kabla?
Kama jibu ni ndiyo
2. Kwanini hukurudi kwetu waumini kutueleza yatakayojiri ili kusikia jamii yako ina hoja gani?
3. Kwanini ufanye siri?
Kama jibu ni hapana,
3. Ulienda Ikulu kufanya nini?
4. Huoni kuwa huo ni usaliti mkubwa sana uliotufanyia?
5. Ulipoenda ikulu, una uhakika kuwa umeridhishwa na yatakayoenda kutokea huko mbeleni kwenye IGA?
6. Ni ipi sasa faida ya kuukataa mkataba Kama jamii halafu wewe unarudi kimya kimya kuukubali?
Nikutahadharishe kuwa kuingia ikulu kwa kificho, kuketi kushuhudia ulichopinga kikisainiwa mbele yako basi ukiingia kwenye nyumba ya ibada jua kuwa wewe ni mchafu. Na Kama mkataba ungekuwa msafi basi usingezimwa na alfu lele hulela za uteuzi wa Makonda.