beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Mbunge Charles Mwijage amesema Watanzania na Wabunge walio wengi hawataki Uchumi wa kuwapeleka wachache juu na kuwaacha wengine
Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambapo pia amesema sekta za uzalishaji ndizo zinaweza kupeleka Taifa katika Uchumi Jumuishi
Amesema, "Ukiimarisha Kilimo, Mifugo na Uvuvi ndipo unaweza kuleta Uchumi Jumuishi kwa Watanzania wote. Tujifunze kwa rafiki zetu Uganda na Rwanda"
Ameongeza, "Uganda wanauza Maziwa na bidhaa zake nje na wanapata Dola Milioni 100 kwa mwaka. Tanzania hatupati hata Senti 50, ukiuliza kwanini wanasema ni Sera"