Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
"Mbowe na Lissu watakuwa salama…wasiogope" Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ngazi ya Taifa, Charles Odero akizungumza dakika chache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa chama hicho, akiwatoa wasiwasi wagombea wenza kuwa watakuwa salama baada ya yeye kushika hatamu ya kukiongoza chama hicho.
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?