"Mbowe na Lissu watakuwa salama…wasiogope" Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ngazi ya Taifa, Charles Odero akizungumza dakika chache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa chama hicho, akiwatoa wasiwasi wagombea wenza kuwa watakuwa salama baada ya yeye kushika hatamu ya kukiongoza chama hicho.
Ili mambo yasiwe mabaya. Unaweza kushangaa akashinda odero. Japo binasifi ningependa ashinde mzalendo na mwanahatakati wa kweli naye ni LISU.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbarki Tundu LISU.