Kwa wale wenzangu wa old school mnamkumbuka mchekeshaji maarufu aliyetikisa wakati ulee Charlie Chaplin, kwa kujikumbushia kipaji cha huyu bwana bofya kwenye Charlie Chaplin
Kwa wale wenzangu wa old school mnamkumbuka mchekeshaji maarufu aliyetikisa wakati ulee Charlie Chaplin, kwa kujikumbushia kipaji cha huyu bwana bofya kwenye link hii. YouTube - Charlie Chaplin
Nimeicheki mkuu, jamaa alikuwa creative sana. Enzi zile za projectors tulikuwa tukiingia Cinema mahususi kwa ajili ya kumcheki huyu jamaa, Cinema ikiisha unameza na dawa za kuondoa maumivu kwa jinsi mbavu zinavyouma kwa kucheka