Charlie sheen is HIV positive

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Dah Charlie alijua Ana a HIV one year a go .Ame date wanawake kibao . Amesema kafanya mapenzi na wanawake 5000 including Lindsey lohan , Kim kardashian .Hapa ngoma wataicheza
 
Ni hollywood star itakuwa aliwakamata wengi..
 
huyo ni actor mkubwa sana pale hollywood na moja ya series iliyompa umaarufu mkubwa ni Two And Half Men kabla ya kuzinguana nao na nafasi yake kuchukuliwa na Ashton Kutcher
 
huyo ni actor mkubwa sana pale hollywood na moja ya series iliyompa umaarufu mkubwa ni Two And Half Men kabla ya kuzinguana nao na nafasi yake kuchukuliwa na Ashton Kutcher

Winning i hope hajamwambukiza Lindsey lohan jamani
 
Nimeshtuka kusikia taarifa hii japokuwa nilitarajia kuisikia taarifa hii pia huyu jamaa ni chizi aliyepitiliza kuliko uchizi wenyewe
 
Dah Charlie alijua Ana a HIV one year a go .Ame date wanawake kibao . Amesema kafanya mapenzi na wanawake 5000 including Lindsey lohan , Kim kardashian .Hapa ngoma wataicheza

vipi hakumgusa halima ndalandefu na pili minyege wa kawe??
 
Furesh tu!..hata kwetu uswazi Waridi alisema anao tangu kitambo hiyo!
 
What's the big deal? Being HIV+ is not a death sentence. Kumbe stigma bado ipo sana tu mimi nilidhani watu wameelimika siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…