chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Feb 7, 2025 Thread starter #41 Mundele Makusu said: Acha ushabiki maandazi,Che Malone kachoma mara ngapi mbona hamumfukuzi Click to expand... Tunamiachia Baraba, tunamtaka Chasambi
Mundele Makusu said: Acha ushabiki maandazi,Che Malone kachoma mara ngapi mbona hamumfukuzi Click to expand... Tunamiachia Baraba, tunamtaka Chasambi
N Ntaganda Member Joined Jul 23, 2012 Posts 47 Reaction score 6 Feb 7, 2025 #42 Aleyn said: Afukuzwe aende wapi? Toka wewe. Click to expand... Aende CCM kama lile kundi kubwa la CDM ambalo chiembe Alituhakikishia watahamia wakati wa Kilele cha maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM.
Aleyn said: Afukuzwe aende wapi? Toka wewe. Click to expand... Aende CCM kama lile kundi kubwa la CDM ambalo chiembe Alituhakikishia watahamia wakati wa Kilele cha maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM.