Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
i salute you kinsmen kwa jina la gusa achia twende kwao
nimechunguza sana kauli ya bwana chasambi kuwa ndani ya team yake hakuna role model wake ila yanga wapo anaowakubali akiwemo max mpia
sasa simbilisi mnamchukia kijana kwanini?
kiukweli chasambi aliwastahi tu sio kwamba uongo, kimsingi simba yote inatakiwa kujifunza kwa yanga
kwa haya yafuatayo
1;umoja na ushirikiano
yanga wamekuwa na upendo na umoja wakishikamana kwa kila namna, tumeshuhudia wachezaji wakicheza vizuri mashabiki huwazawadia pesa, huu ni upendo lakini kwa simba mashabiki huishia kuwapawachezaji condom zilizotumika na ugoro, hii sio sawa igeni kwa yanga
tumeona leo namna duka la mzize lilivyofurika kwa wanayanga kujaa kununua pamba kali ikiwa ni namna ya kumpa tafu kijana wao mzizeL kule simba ukifungua hata genge la mihogo basi tajiri mudi ananuna na utakaa banch
2;swala la washambuliaji
mpaka sasa ligi kuu yanga imefunga magoli mengi kuliko team yoyote, kama unabisha chomoa taratibu
mzize pekee amehusika kwenye magoli 13 lgi kuu akiwa na goli sita na assist 3
wakati baunsa wa simba ana goli 6 tangu zamani na nne ni penatiL huku kibudenga mabangi naye akitimiza mwaka nusu bila goli ligi kuuL akiwa anazidiwa na mabeki kama bacca mwenye bao nneL
sasa bado hujaenda kwa pacome na dube huoni simba wanatakiwa kujifunza kwa yanga? chasambi alikuwa sawa
3;swala la akili ndogo za mashabiki wa simba
hili ni tatizo kubwa sana kitaifa, mashabiki wa hiyo team wamekuwa wakilitia aibu taifa kwa kiasi kikubwa sana kutokana na wengi kuwa elimu yao ndogo sana na upeo wao ni kuvukia barabara
hebu fikiria kagombana na mwarabu halafu anang'oa kiti je kimemkosea nini?
hata humu pia jf mashabiki wa tea hiyo ni vilaza na mazumbukuku sana mpaka unakata tamaa kabisa kuwaelewa,
baada ya mechi ya leo saa 3 usiku utaona mwenyewe namna wanavyotokwa na mapovu na kuropoka utadhani wamejamba ukweni na masura yao yalivyowashuka huku wakimalaumu kocha wao na gsm kwa kuharibu ligiL ila wakishinda tu bas aaah sifa zitaanza za uongo na kweli kumsifia baunsa ateba
kwa kweli chasambi alikuwa sawa na huenda najutia kujiunga na team hilo la hovyo