ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Inadaiwa kuwa Management ya mchezaji Chasambi ipo katika mazungumzo na SBS ili kumsajili winga Chasambi
Chasambi hana amani Simba, amekuwa akiandamwa na mashabiki wa timu hiyo kuwa anawachoma
Chasambi anaonekana wazi kuwa kimwili yupo Simba ila moyoni Kuna timu ya ndoto zake anataka kucheza
SBS ni stoo ya Yanga, muda wote Yanga anachukia mali hapo
Toka lini mchezaji kutoka Morogoro akaipenda Simba, hamkujua kuwa watu wa Morogoro wote Yanga
Tunakutakia heri Chasambi huko SBS na baadaye uje timu yako ya moyoni