msomi kutoka znz
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 650
- 2,962
Imetembea kilometers ngapi hadi Sasa!!?habari, zingatia kichwa habari, ndugu nauza chaser avante vvti engine ipo kwenye hali nzuuri sana. gari ina engine na gear box original, kabla ya kutaka kuuza nimepiga rangi mkono mmoja, sports rims, shock up hazigongi, new tires.
bei 4m..
0658007766
200,0000kms kakaImetembea kilometers ngapi hadi Sasa!!?
Duh halafu namba B? Kuwa serious aisee.200,0000kms kaka
unajua magari kaka? unaijua milioni 4?Duh halafu namba B? Kuwa serious aisee.
Naijua ndo maana nimecomment... hii gari ikizidi sana utauza 2Munajua magari kaka? unaijua milioni 4?
πππ we sio Mungu. naweza uza milioni moja pia au pengine nikagawa kabisa bureNaijua ndo maana nimecomment... hii gari ikizidi sana utauza 2M
Ukifikia kugawa bure naiomba mkuu wangu.πππ we sio Mungu. naweza uza milioni moja pia au pengine nikagawa kabisa bure
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we sio Mungu. naweza uza milioni moja pia au pengine nikagawa kabisa bure