ChatGPT; Jayrutty ndiye aliyekuwa akitengeneza Sandaland

Find information in Reliable source of information dont seek life is easy as you think.

Unaionea Chat Gtp.
 

Hata huyo ChatGPT hajasema ulichoandika kwenye kichwa cha habari chako.
1: Amekwambia hakuna taarifa ya timu iliyohusishwa/kujulikana kuwa JARYRUTTY kama kit supplier.

2: TFF ndo wana makataba na SANDALAND/a local Tanzanian brand kama kit supplier kwa mkataba wa miaka mitano.
 
Lugha gongana mkuu.
 
Wee jamaa mbona huyo bot anachoongea na wewe ulivotafsiri ni mbingu na ardhi. Ungemuuliza Tu Kiswahili anakifahamu vizuri tuu.
 
Jayrutty investment company limited ni kampuni ya kutengeneza vinywaji bilali,whisky,vodca na malta ambapo anaviuza hapa Tanzania na kusafirisha congo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…