nikiukiza ChatGpt: nielekeze namna sahihi ya kufoka na kugomba, nieleze kwakutumia maandishi pia unipe picha inayoonyesha namna sahihi ya kugomba na kufoka, pia unioe picha inayoonyesha namna isiyo sahihi ya kugomba na kufoka
image ilikuja ndani ya sekunde chache kisha Chatgpt ikawa inaonyesha hivyo tangu mchana hadi saivi kila nikijaribu kuingia inaishia hapo kwa kuandika hivyo
Unachotakiwa ni kusign in with Google account na kama ulifanya hivyo basi unachotakiwa ni kutumia bila kusign ingawa bila kusign utakosa baadhi ya huduma na history ya utumiaji hakuna