ChatGPT vs DeepSeek

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Mashindano makali yenye vita kubwa kati ya USA na China ya kizidi kupamba moto kwenye teknolojia.

Wiki zilizopita china imetambulisha mfumo wao AI(akili bandia) kwa madai yao kuwa inaweza kutumia vifaa vya bei rahisi kuendesha mfumo wake, lakini cha kuchekesha nilichogundua ni kama china katumia mfumo wa kutembelea kitonga kwenye mfumo ChatGPT.




Upande wa ChatGPT katika uwekezaji ni mkubwa na wenye gharama kubwa na yenye mifumo ya kisasa sana ambayo inatumia vifaa vya Nividia kuchakata data.

Kilichofanya watu kukimbilia deepseek ni kwamba inaweza kutoa taarifa au kupokea taarifa yenye maneno mengi ukilinganisha chatgpt.


Kuna wasi wasi mkubwa ambao USA wanaogopa kuwa deepseek imetengenezwa kwa makusudi kukusanya taarifa za nchi nyingi kwa kutumia madhaifu ya ChatGPT.

Kuhusu swala Deepseek na china.Mfumo deepseek uwezi kukupa taarifa au kupokea taarifa ambazo utauliza kuhusu china ukandamizaji wa haki na mengine ambayo china ufanya kama wafanyavyo.
 
Acha vita iendelee tupate unafuu,ndio uzuri wa ushindani
 
sema deep seek ina reason fresh ila kwa speed ndogo, chatgpt ina speed ya ku return response instantly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…