Chato Airport ni kaa la moto lisilozimika kwa CCM na Magufuli. Sasa anaahidi kujenga Airport kama ya Chato kila anakopita...!

Yametimia uwanja ushaanza kuwa gofu
Kuna mijitu ilikuwa inatetea Sana huu uwanja sasa imekaa kimya kumbe ilikuwa minafki tu
 
Ila mjue huyu jamaa kufikia tamati tumeepushwa na mengi
Hatuihitaji kujua ni kwa upendo wa Mungu ama kazi ya kimya kimya

Maana pia alikua hapendi wadadisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…