Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Apigwe tu hakuna namna maana wamechoka.Inasadikiwa aliibiwa ng'ombe zake huko Muleba. Akaenda kwenye mmoja ya minada ya kuuza ng'ombe na akaziona baadhi ya ng'ombe zake.
Ilikuwa siku kama chache kipindi cha sikukuu ya Iddi.
Alipoziona ng'ombe zake pale mnadani akaanza kufyatua risasi juu ili kuwatawanya wananchi. Risasi zikamuuishia kwenye bastola yake.
Wananchi wenye hasira wakaanza kumpa kichapo cha mbwa mtu. Al manusra apoteze uhai. Sasa hivi amelazwa hospital ya wilaya Chato. Yupo hoi na anaendelea na matibabu.
Hawajifunzi tu ,kuna mmoja alikuwa mwenyekiti wa sisiemu huko kanda ya ziwa walikuwa wanagombania ardhi na yeye alikuja na MJEGEJO akaanza kuwatishia raia kwa njugu naona zikaisha ,raia wakampitia kama UPEPO akarudisha NAMBA.Tajiri mjinga
Ni kada wa CCM?Kada Huyo Acha Anyweshe Dawa Chap
Hakika ni mjinga wa mwisho. Kwanini asichukue hatua stahiki za kiwaita askari polisi na kuzuia uuzaji wa hizo ng'ombe na kuwatafuta waliozileta hapo? Tatizo la wahaya linajulikana lakiniš¤£š¤£Tajiri mjinga