johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar.
Viongozi wengine wa kidunia ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa China na Raila Odinga wa Kenya.
Pia mh Tundu Lisu kutokea Ubelgiji ambaye alikuja kugombea urais wa JMT alitembelea wilaya ya Chato mara mbili wakati wa kampeni.
Tuache nongwa Chato iwe mkoa.
Maendeleo hayana vyama!