johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Pia ni wilaya pekee nchini ambapo zipo taa za barabarani zinazoongoza punda.Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar.
Viongozi wengine wa kidunia ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa China na Raila Odinga wa Kenya.
Pia mh Tundu Lisu kutokea Ubelgiji ambaye alikuja kugombea urais wa JMT alitembelea wilaya ya Chato mara mbili wakati wa kampeni.
Tuache nongwa Chato iwe mkoa.
Maendeleo hayana vyama!
Hhahahah Umesema kweli ila watakuloga humu . JF kuna walozi.Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar.
Viongozi wengine wa kidunia ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa China na Raila Odinga wa Kenya.
Pia mh Tundu Lisu kutokea Ubelgiji ambaye alikuja kugombea urais wa JMT alitembelea wilaya ya Chato mara mbili wakati wa kampeni.
Tuache nongwa Chato iwe mkoa.
Maendeleo hayana vyama!
Unafunga taa za kuongozea magari huku mji wenyewe hauna population ya magari.Pia ni wilaya pekee nchini ambapo zipo taa za barabarani zinazoongoza punda.
Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar.
Viongozi wengine wa kidunia ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa China na Raila Odinga wa Kenya.
Pia mh Tundu Lisu kutokea Ubelgiji ambaye alikuja kugombea urais wa JMT alitembelea wilaya ya Chato mara mbili wakati wa kampeni.
Tuache nongwa Chato iwe mkoa.
Maendeleo hayana vyama!
Arusha ni mkoa bwashee!Ukisema Arusha ambayo hadi Rais wa Marekani George bush amewahi kufika, bila kusahau EAC ipo pale na zamani mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita
Nani katembelea Butiama au yule Pambalu?!Butiama pametembelewa na viongozi wengi zaidi.
Pengine Butiama ingekuwa nchi kabisa!!!
Ni wilaya pia mkuuArusha ni mkoa bwashee!
Wilaya ya Arusha si ipo pia mkuuArusha ni mkoa bwashee!
Mlikuwa hamjazaliwa!Nani katembelea Butiama au yule Pambalu?!
Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar.
Viongozi wengine wa kidunia ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa China na Raila Odinga wa Kenya.
Pia mh Tundu Lisu kutokea Ubelgiji ambaye alikuja kugombea urais wa JMT alitembelea wilaya ya Chato mara mbili wakati wa kampeni.
Tuache nongwa Chato iwe mkoa.
Maendeleo hayana vyama!
Hapa nagonga kande na mbege!ukishavimbiwa kande, unaadika tu bila kutumia kichwa?
kwani lazma kila siku uanzishe uzi kama huna la kuandika bwashee?
huoni ni matumizi mabaya ya pesa za serikali?
Broo leo umekula nini? Mbona unajamba sana?Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar.
Viongozi wengine wa kidunia ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa China na Raila Odinga wa Kenya.
Pia mh Tundu Lisu kutokea Ubelgiji ambaye alikuja kugombea urais wa JMT alitembelea wilaya ya Chato mara mbili wakati wa kampeni.
Tuache nongwa Chato iwe mkoa.
Maendeleo hayana vyama!
andika shahiri kuhusu lupaso sasa, achana na chatoHapa nagonga kande na mbege!
Haya nayo ni mataifa au ni takataka?Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar.
Viongozi wengine wa kidunia ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa China na Raila Odinga wa Kenya.
Pia mh Tundu Lisu kutokea Ubelgiji ambaye alikuja kugombea urais wa JMT alitembelea wilaya ya Chato mara mbili wakati wa kampeni.
Tuache nongwa Chato iwe mkoa.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo ni ujumbe Gani unataka kuufikishamo John🤔.Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar.