mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ikumbuke wilaya hii sehemu kubwa ilikuwa mkoa wa Kagera Wilaya ya Biharamulo, pia sehemu ya mkoa wa Mwanza wilaya ya Geita, namaanisha maeneo ya kata ya Buseresere na Rumasa.
Back to the point wilaya hii ina makabila kama Waha, Wasukuma, Wasumbwa, Wasubi, Washubiwazinza, Warundi, Wahaya, Wahangaza na kila mmoja hujiona yupo kwao.
Back to the point wilaya hii ina makabila kama Waha, Wasukuma, Wasumbwa, Wasubi, Washubiwazinza, Warundi, Wahaya, Wahangaza na kila mmoja hujiona yupo kwao.