Kuna kabila linaloitwa 'warundi' nchini?Ikumbuke wilaya hii sehemu kubwa ilikuwamkoa wa kagera wilaya ya biharamulo,pia sehemu ya mkoa wa mwanza wilaya ya Geita,namaanisha maeneo ya kata ya buseresere na rumasa.
Back to the point wilaya hii ina makabila kama ,waha,wasukuma,wasumbwa,wasubi,Washubiwazinza,warundi,wahaya,wahangaza.na kila mmoja hujiona yupo kwao,si ajabu bwana yule aliitwa mrundi,maana kutoka chato mpaka burudi hata kwa pikipiki unafika
Labda ukiexclude wilaya zote za darIkumbuke wilaya hii sehemu kubwa ilikuwa mkoa wa Kagera Wilaya ya Biharamulo, pia sehemu ya mkoa wa Mwanza wilaya ya Geita, namaanisha maeneo ya kata ya Buseresere na Rumasa.
Back to the point wilaya hii ina makabila kama Waha, Wasukuma, Wasumbwa, Wasubi, Washubiwazinza, Warundi, Wahaya, Wahangaza na kila mmoja hujiona yupo kwao.
Warundi ni kabila mkuu?Ikumbuke wilaya hii sehemu kubwa ilikuwa mkoa wa Kagera Wilaya ya Biharamulo, pia sehemu ya mkoa wa Mwanza wilaya ya Geita, namaanisha maeneo ya kata ya Buseresere na Rumasa.
Back to the point wilaya hii ina makabila kama Waha, Wasukuma, Wasumbwa, Wasubi, Washubiwazinza, Warundi, Wahaya, Wahangaza na kila mmoja hujiona yupo kwao.
Hata dar wapo wazawa wa makabila yote ya afrika mashariki sio bongo tu, huwezi linganisha na chato...Dar wahamiaji,chato wazawa
Nadhani kwa Tanzania Wilaya inayoongoza ni Musoma. Ina makabila mengi na ni wazawa sio wahamiaji Kama chato.Ikumbuke wilaya hii sehemu kubwa ilikuwa mkoa wa Kagera Wilaya ya Biharamulo, pia sehemu ya mkoa wa Mwanza wilaya ya Geita, namaanisha maeneo ya kata ya Buseresere na Rumasa.
Back to the point wilaya hii ina makabila kama Waha, Wasukuma, Wasumbwa, Wasubi, Washubiwazinza, Warundi, Wahaya, Wahangaza na kila mmoja hujiona yupo kwao.
Okay ndio maana nchi ilitawaliwa na Mrundi wakati flani.Back to the point wilaya hii ina makabila kama Waha, Wasukuma, Wasumbwa, Wasubi, Washubiwazinza, Warundi, Wahaya, Wahangaza na kila mmoja hujiona yupo kwao.
Wilaya za dar kabila ni moja wazaramoLabda ukiexclude wilaya zote za dar
Dar wazawa ni wazaramo hakuna kabila lingine kama lipo nitajie ,usinitajie wahamiajiHata dar wapo wazawa wa makabila yote ya afrika mashariki sio bongo tu, huwezi linganisha na chato...
Umefikiria nini kuandika haya siku ya leo?Ikumbuke wilaya hii sehemu kubwa ilikuwa mkoa wa Kagera Wilaya ya Biharamulo, pia sehemu ya mkoa wa Mwanza wilaya ya Geita, namaanisha maeneo ya kata ya Buseresere na Rumasa.
Back to the point wilaya hii ina makabila kama Waha, Wasukuma, Wasumbwa, Wasubi, Washubiwazinza, Warundi, Wahaya, Wahangaza na kila mmoja hujiona yupo kwao.
Kama hakuna mmakonde huko basi taarifa hii haipendezi........wapo kila sehemu.Ikumbuke wilaya hii sehemu kubwa ilikuwa mkoa wa Kagera Wilaya ya Biharamulo, pia sehemu ya mkoa wa Mwanza wilaya ya Geita, namaanisha maeneo ya kata ya Buseresere na Rumasa.
Back to the point wilaya hii ina makabila kama Waha, Wasukuma, Wasumbwa, Wasubi, Washubiwazinza, Warundi, Wahaya, Wahangaza na kila mmoja hujiona yupo kwao.
Lakini warundi wa chato nao ni wazawa? Ebu tupe maana ya wazawa?Dar wazawa ni wazaramo hakuna kabila lingine kama lipo nitajie ,usinitajie wahamiaji
Hapana. Musoma mjini tu pale Kuna makabila manne makubwa, wajita, wazanaki, waruri na wakwaya.Zile ni koo sio kabila,msoma wana koo zonazokaribia kuwa kabila
Sio Chato pekee bali Geita nzima ni kwa Wazinza.Ikumbuke wilaya hii sehemu kubwa ilikuwa mkoa wa Kagera Wilaya ya Biharamulo, pia sehemu ya mkoa wa Mwanza wilaya ya Geita, namaanisha maeneo ya kata ya Buseresere na Rumasa.
Back to the point wilaya hii ina makabila kama Waha, Wasukuma, Wasumbwa, Wasubi, Washubiwazinza, Warundi, Wahaya, Wahangaza na kila mmoja hujiona yupo kwao.